RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR. JOHN POMBE MAGUFULI AFARIKI DUNIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Joseph Magufuli amefariki dunia. Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kupitia Televisheni ya Taifa (TBC) leo usiku Machi 17, 2021 saa 5 usiku ametangaza kifo cha Rais Magufuli ambae amefariki dunia leo kwa maradhi ya Moyo akiwa katika Hospitali ya Mzena jijini Dar. Rais Magufuli alilazwa